My series of unfortunate events😮‍💨

Heh, so wacha Tu niseme hii kitu initoke😂😂 Yesterday started well, until nikafika Tao nikachapa chokora juu ya kunishika matako.

Haiya, me and my two friends si tukashika mzinga ya KC halafu tukaenda Uhuru park, kanjo wakatushika....but walirudisha😂like after an hour of kuwalamba.

Tukateremsha mzinga yetu Safi, 6:30 we left.

I needed sth from dubois, heh kumbe kuna kachuom hapo, tukaongeza ka¼ and from there my memory is blurry but my friend updated me.

Eti nilimunju kijana tulikua na yeye😂in dubois, I don't remember hata.

Walinibeba mpaka stage😪wakiniokota nikianguka Kwa barabara.

Tukapanda rembo, kiti ya nyuma kabisa....I started feeling kususu, guess what?I susud on my self😭yes yes yes.

Tukapitishwa na matatu, we had to pay motorbike ya 600 kufika home.

Gate napata imefungwa, tukaruka juu...my friend had to sleep over, the girl.

Btw this whole time, it's already 12 na ni Mimi nilikua na chakula ya usiku😹😹.

Imenitoka sasa.